0:00
NYOTA WETU
Nyota wa Mieleka wa Marekani Michael Jones (61) almaarufu kama “Virgil” amefariki dunia.
Kupitia Mtandao wa X, Refa wa Mieleka Mark Charles amethibitisha kuwa Virgil alifariki kwa amani akiwa hospitali.
Mwanamieleka huyo alivuma zaidi kwa kazi yake katika Shirikisho la mieleka duniani (WWF) kati ya miaka ya 1980 na 1990.
Mwaka 2022 Virgil alitangaza kusumbuliwa na saratani ya utumbo pamoja na ugonjwa wa ubongo unaoathiri kumbukumbu na uwezo wa kufikiri.
Related Posts 📫
MASTORI
1. JENGA MAKAZI YAKO MAPEMA.
Iwe ni mjini au...
Moroccan para-taekwondo team achieved a remarkable performance at the World...
La Liga leaders Barcelona, coming off the back of a...
Four days ago Liverpool boss Arne Slot was unhappy with...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Tottenham Ange Postecoglou ameushinikiza...