SABABU YA PRINCE DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAM FC

0

0:00

MICHEZO

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.

Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha miaka miwili na nusu mkataba wake kufikia ukomo.

Azam FC imemjibu Dube (27) kwamba kama anataka kuondoka kama ambavyo amewasilisha ombi lake, klabu haina kipingamizi chochote na imemruhusu kuondoka lakini matakwa ya mkataba yanatakiwa kutekelezwa.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  HII NDIO ORODHA YA WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NDEFU KWENYE LIGI ZA AFRIKA.
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading