EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

0:00

HABARI KUU

Marekani imewawekea vikwazo watu tisa 9 nchini Zimbabwe akiwemo Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa, mke wake, Auxillia Mnangagwa, Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga, Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Upelelezi wa Zimbabwe na Patrick Chinamasa Mweka Hazina wa chama cha kisiasa cha Zanu PF.

Pia Marekani imeyawekea vikwazo Makampuni matatu ya kibiashara ya Zimbabwe.

Marekani inawashutumu viongozi hao kuhusika katika ukiukwaji wa haki za binadamu,rushwa,utekaji wa watu na unyanyasaji uliopitiliza.

Vikwazo hivyo ni pamoja na kukamatwa kwa nyumba zao zilizopo kwenye ardhi ya Marekani na kutoruhusiwa kuingia nchini humo.

Hadi kufikia sasa uongozi nchini Zimbabwe haujatangaza kitu chochote kuhusiana na hatua hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

BUNDUKI ILIYOMUUA MSUYA ILIVYOSAKWA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Mamelodi yampa thank you kocha Rhulani Mokwena
Mamelodi Sundowns na Kocha Mkuu, Rhulani Mokwena wamefikia makubaliano ya...
Read more
Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka...
Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika...
Read more
MISS TANZANIA HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA...
NYOTA WETU Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika...
Read more
SHERIA YAPITISHWA KUWALINDA WAAMUZI ...
MICHEZO Bodi inayotunga na kusimamia sheria na kanuni za mchezo...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SHULE ZAFUNGWA SUDAN KUSINI KISA HIKI

Leave a Reply