MBOWE ATANGAZA MAANDAMANO YA CHADEMA MWEZI APRILI

0:00

HABARI KUU

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kufanya awamu ya pili ya maandamano ya wiki moja nchi nzima kwenye makao makuu ya mikoa.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema hayo mkoani Mtwara wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kukamilika kwa vikao vya Kamati Kuu ya chama hicho vilivyoketi kwa muda wa siku nne.

Amesema maandamano hayo yataanza Aprili 22, 2024 na kumalizika Aprili 30, 2024.

Mbowe ameongeza kuwa maandamano hayo yatafanyika pia katika nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Canada, Àfrika Kusini, Ujerumani, Uswisi , Ufaransa, Uingereza, Marekani na Kenya.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Southampton have completed the signing of forward...
The Chile striker has signed a four-year deal at St...
Read more
MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD AMAECHI MUONAGOR AFARIKI DUNIA...
NYOTA WETU Muigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor amefariki Dunia...
Read more
COMMON MAN NEEDS FROM WOMAN
LOVE TIPS ❤ 13 MOVES OF MAN NEEDS A WOMAN...
Read more
LISANDRO MARTINEZ NA VICTOR LINDELOF WAPATA MAJERAHA...
MICHEZO Mabeki wa Manchester United, Lisandro Martinez na Victor Lindelof...
Read more
Mtibwa Sugar imeshuka daraja rasmi toka Ligi...
Walima miwa hao wa Morogoro wameshuka daraja baada ya kufungwa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  NAPE KUSHUGHULIKA NA WALIOZUSHA KIFO CHA MPANGO

Leave a Reply