0:00
NYOTA WETU
Mwanamuziki Taylor Swift alipokea ofa kubwa ambayo haijawekwa wazi kutoka Singapore ili kutumbuiza katika taifa hilo Asia ya Kusini-Mashariki wakati wa ziara yake ya Eras, kitendo ambacho kimeibua mjadala nchini humo.
Baada ya tamasha hilo kufanyika, Uvumi mkubwa uliibuka baada ya Waziri Mkuu wa Thailand Srettha Thavisin kudai Singapore walitoa ruzuku ya dola milioni 3 sawa na zaidi ya Tsh bilioni 7 kwa kila tamasha la mwanadada huyo ingawa kiasi kamili bado hakijawekwa wazi.
Mkataba huo wa kutengwa umeibua mijadala nchini Thailand na Ufilipino, huku wabunge wa Ufilipino wakiikosoa Singapore na kuhimiza hatua za kidiplomasia zichukuliwe huku afisa huyo wa zamani wa Singapore kwa kitendo alichokifanya.
Related Posts 📫
President Bola Tinubu has named the National Arts Theatre in...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
The Defence Headquarters has described the recent bombings in Borno...
New Zealand skipper Tom Latham said he was hugely proud...
The Miami Heat unveiled a statue of franchise legend Dwyane...