0:00
NYOTA WETU
Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika.
Macron amesema “Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili kibinadamu, lengo letu ni kumpa Mtu uhuru binafsi wa kuamua kuhusu uhai wake baada ya kufikia hatua isiyo na nafuu au kupona”
Endapo Muswada huo utapitishwa, Ufaransa itakuwa nchi ya 10 duniani kuwa na Sheria ya Kusaidiwa Kufa. Nchi nyingine ni Uholanzi, Ubelgiji, Luxembourg, Colombia, Canada, Hispania, NewZealand, Ureno na Ecuador.
Related Posts 📫
NYOTA WETU
Nyota wa Ligi Kuu England, Michael Antonio amefunguka...
Dear Business:
Are you still struggling daily with your business's...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo...
MAKALA
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole,...
Kocha wa Young Africans, Miguel Gamondi amejinasibu kuwa mafanikio waliyoyapata...
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.