WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

0:00

HABARI KUU

Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kutekelezwa na waasi wa M23, Mashariki mwa DRC.

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu (Ocha), inakadiria zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea katika eneo la Rutshuru tangu Ijumatano wiki iliyopita.

Rwanda imekuwa ikinyoshewa kidole kwa kuwafadhili waasi wa M23 licha ya Kigali kukanusha taarifa hizo huku ikiziita kama kuchafua jina la nchi na uongozi kwa ujumla.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MESSI NA RONALDO KUKUTANA UWANJANI
MICHEZO Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kukutana tena February mwakani...
Read more
DARWIN NUNEZ AJIONDOA URUGUAY KISA HIKI
MICHEZO Mshambuliaji wa Liverpool, Darwin Nunez, amejiondoa kwenye kikosi cha...
Read more
Latham hails Ravindra impact as New Zealand...
BENGALURU, - New Zealand's first victory in India for 36...
Read more
FELICIEN KABUGA AACHILIWA HURU ...
Habari Kuu. Rwanda iliamua kwamba inashikilia uamuzi wa kusimamisha kesi...
Read more
WACHEZAJI NYOTA WALIOWAHI KUKATAA KUSAJILIWA NA REAL...
MICHEZO Sio rahisi kwa mchezaji mkubwa kukataa nafasi ya kucheza...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SPOTIFY YAAMUA KUBANA MATUMIZI

Leave a Reply