0:00
NYOTA WETU
Jenerali Biagolo amesimamishwa katika jeshi la DRC baada ya kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii video inamuonyesha Mwanamke mmoja akicheza akiwa amevalia sare za Kijeshi.
Video hiyo ambayo imewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa tiktok inamuonyesha mwanamke wa kando akicheza nayo kitu ambacho ni kinyume na taratibu za jeshi.
Jenerali Biagolo kwa mjibu wa kanuni ya 85 ya sheria za kijeshi anaweza kuhukumiwa kwenda jela miaka mitano.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Rais Yoweri Kaguta Museveni amezindua mfumo wa kielektroniki...
President William Ruto has announced a 40% salary increase for...
The luxury Airbus A330 aircraft, valued at a staggering N150...
A group of Members of Parliament from the northeastern region...
MAKALA
Katika baadhi ya maeneo ya Afrika, watu wanakabiliwa na...
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.