0:00
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe huku aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya akihamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Martin Otieno aliyehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Uhamisho huo ni mabadiliko ya kawaida yanayotokea ndani ya Jeshi la Polisi katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.
Related Posts 📫
However, the deal is in the balance with Osimhen demanding...
HABARI KUU
Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuzama kwa Mv. Bukoba...
MALAGA, Spain 🇪🇸 — Rafael Nadal is getting set to...
MICHEZO
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu za Simba SC,...
Why would they want to, after all, the 34-year-old Soon...