0:00
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe huku aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya akihamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Martin Otieno aliyehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Uhamisho huo ni mabadiliko ya kawaida yanayotokea ndani ya Jeshi la Polisi katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Mfanyabiashara wa madini na mmiliki wa klabu ya...
The week looks likely to be dominated by Dani Olmo...
Singer Asake revealed the song lineup for his long-awaited third...
Popular actress, Sarah Martins heavily blasts netizens dragging her for...
HABARI KUU
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili...