NIGER YAVUNJA USHIRIKIANO WA KIJESHI NA MAREKANI

0:00

HABARI KUU

Niger jana imetangaza kuvunja makubaliano ya ushirikiano wa Kijeshi na Merikani, makubaliano yaliyotiwa saini mwaka wa 2012 ikiyaita yasiyokuwa na malengo kwa Niger.

Marekani ina karibu wanajeshi elfu moja nchini humo, pamoja na kituo kikubwa cha Ndege zisizo na rubani huko Agadez.

Katika televisheni ya taifa, Msemaji wa Serikali alituhumu ushirikiano huo usio wa haki na kutokidhi malengo kwa serikali.

Kwa mjibu wa Kanali Meja Amadou Abdramane amesema kuwa makubaliano ya ushirikiano yamekuwa kama maneno tu na kuwafaidisha Wamarekani badala ya Niger huku pia Niamey ikilalamika kutokuwa na taarifa juu ya operesheni za Marekani ndani ya nchi hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Christina Shusho afunguka sababu ya kuiacha ndoa
NYOTA WETU "Nimeolewa nikiwa na miaka 19 nilipomaliza kidato cha...
Read more
Kwanini Joe Biden ana uhakika wa Kumshinda...
Rais wa Marekani, Joe Biden amewatoa wasiwasi wafuasi wa chama...
Read more
Interesting facts of chicken egg fertility that...
🪶 It is possible to have a rooster and a...
Read more
NZ skipper Latham lauds team for greatest...
New Zealand captain Tom Latham was lost for words following...
Read more
WAKONGOMANI WALITAKA JESHI LA AFRIKA MASHARIKI KUONDOKA...
HABARI KUU Muungano wa vyama vya kiraia katika Jamhuri ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Leave a Reply