0:00
NYOTA WETU
Mfahamu Professor Esther Mwaikambo, Mshindi wa tuzo Sekta ya afya kwenye Malkia wa Nguvu 2024.
Huyu daktari bingwa wa magonjwa ya watoto. Anaitwa the Tanzanian woman of many firsts (yaani mwanamke Mtanzania mwenye kwanza nyingi).
Daktari wa kwanza mwanamke mwaka Tanzania 1969, daktari bingwa wa watoto mwaka 1977, na alikuwa profesa wa kwanza mwanamke katika fani ya tiba mwaka 1993.
Amewahi kuwa sekretari akaacha, akawa mhudumu wa ndege (Air hostess) akaacha, baadaye akajipata kwenye fani ya tiba na hatimae ameweka historia.
Leo anatunuliwa tuzo ya Malkia wa Nguvu na Clouds Media Group, ukumbi wa Mlimani City.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
UCHAMBUZI
Ukweli mwingine ambao sioni watu wakiusema ni kwamba kilichomuondoa Pochettino...
TURIN, Italy 🇮🇹 — He’s got a stranglehold on the...
MAKALA
Watafiti wa Marekani wanasema wamegundua ni kwanini baadhi ya...