MICHEZO
Related Content
Related Content
Bondia Mtanzania Abdallah Pazi almaarufu Dulla MBABE amepigwa kwa ‘Knock Out’ kwenye raundi ya 4 katika pambano la raundi 10 na bondia Callum Simpson raia wa Uingereza katika pambano lililofanyika huko huko Uingereza.
