KOCHA WA YANGA MIGUEL GAMONDI AMTETEA MZINZE

0:00

MICHEZO

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amegeuka mbogo kwa Mwandishi wa habari aliyeuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavi na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati wa mkutanao wa Waandishi wa habari baada ya mchezo.

“Mzize ni ‘Future’ ya Tanzania sio Yanga tu, sasa atapataje uzoefu kama hapati nafasi ya kucheza, mbona kacheza vizuri sana, katengeneza nafasi nyingi, kukosa ni kawaida kwa washambuliaji, au hujaona alichokifanya, wewe ni mwandishi wa habari nadhana una uelewa wa mambo kuliko shabiki, sasa unaulizaje swali kama shabiki, aya nami nikuulize yule Peter Shelulile wa Mamelod Sundowns katengeneza nafasi ngapi?”

– Gamondi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HOW TO MAKE WOMEN FALL IN LOVE...
❤ To bring a quick end to your singleness as...
Read more
RUUD VAN NISTELROOY has taken Marcus Rashford...
Rashford is still a world away from the brilliant form...
Read more
Don't Marry A Stupid Man,Marry A Man...
Dear Ladies, DON'T MARRY A STUPID MAN,MARRY A MAN WITH...
Read more
Police Apologize for Mistaken Arrest of Veteran...
The National Police Service (NPS) has described the forceful arrest...
Read more
Governor Siminalayi Fubara of Rivers State took...
The governor, who spoke on Wednesday when the people of...
Read more
See also  RIHANNA AMPA JAY Z TUZO

Leave a Reply