DAVIDO AKANA KUKAMATWA KENYA SIKUKUU YA WAJINGA

0

0:00

MICHEZO

Davido ametoa taarifa rasmi akikana kudakwa na polisi nchini Kenya, baada ya kusambaa kwa habari hizo siku ya jana, Aprili Mosi.

Baadhi ya media na blogs nchini Kenya, ziliripoti kukamatwa kwa nyota huyo aliyekuwa na shoo yake nchini Kenya.

Taarifa kutoka kwa staa huyo wa Kinaijeria, zinasema wanatafuta chanzo cha awali cha uzushi huo ili kiwajibishwe kwa kusambaza taarifa za uongo.

Siku ya jana ilikuwa ni sikukuu ya wajinga ‘April Fools’, na watu wengi huitumia kuwadanganya watu wao wa karibu na kuwatania kwa taarifa zisizo za kweli.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MWILI WA MKUU WA MAJESHI KENYA KUZIKWA NDANI YA MASAA 72
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading