SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

0:00

HABARI KUU

“Mimi niliona ni goli”

Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli lililofungwa na Yanga.

“Niseme kama Mtanzania ningetaraji timu zetu zingesonga zaidi ila wamejitahidi kwa kweli kufika robo fainali timu mbili kutoka nchi moja sio jambo dogo. Kwa sababu sizijui sana sheria za mpira wa miguu lakini kwa sababu mpira ulidunda ndani ya ule mstari ningefikiri ni goli ni sawa na mpira ungepiga mwamba ukaingia ndani halafu ukatoka ningesema ni goli lakini sasa wale wataalamu wamesema sio goli nafikiri tukubaliane nao lakini lilipoingia tu nikasema ni goli,”

amesema Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson

Dkt. Tulia amesema hayo wakati wa mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu Bunge Marathon litakalofanyika Aprili 13, 2024 katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ANAYEDAI KULAWITIWA NA ALIYEKUWA RC SIMIYU AMUOMBA...
Mwanafunzi wa moja ya vikuo vikuu jijini Mwanza, Tumsime Mathias...
Read more
SABABU YA WAZIRI PAULINE GEKUL KUFUTWA KAZI...
HABARI KUU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua...
Read more
Siku ya jana Mei 29 2024, Afrika...
Uchaguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na ushindani mkali zaidi...
Read more
FAIDA 15 ZA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
Tendo la ndoa tangu uumbaji lililengwa kati ya mwanaume na...
Read more
ALIYEAHIDIWA KUPEWA MBINU NA NAPE NAYE ATOLEWA...
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

Leave a Reply