WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

0:00

HABARI KUU

Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu watano wa Serikali.

Katika Mawaziri hao ishirini na tano, karibu kumi kati yao walikuwa wanaunda serikali iliyopita chini ya Macky Sall.

Waziri wa Mambo ya Nje ameteuliwa Yassine Fall huku katika Wizara ya Nishati akiteuliwa Mwanamke.

Watendaji 13 kutoka katika Chama cha kisiasa cha Pastef wamewekwa katika nyadhifa zote za Mawaziri kama vile El Malick Ndiaye, aliyeteuliwa katika Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi na Msemaji wa Serikali na Amadou Moustapha Ndiak Saré akiteuliwa kuwa Waziri wa Mafunzo ya ufundi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima...
Read more
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP...
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar,...
Read more
UHUSIANO WA TIBA ZA SOKWE NA BINADAMU...
Imegundulika kwamba sokwe hula miti ambayo ina uwezo wa kutuliza...
Read more
ADAKWA NA POLISI KWA KUMUINGILIA KUKU NA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
CASEMIRO KWENYE RADA ZA WAARABU ...
MICHEZO Manchester united ipo tayari kumpiga bei nyota wake wa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amempa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina siku 10 (hadi Juni 14 mwaka huu) kuthibitisha madai yake kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amelidanganya Bunge.

Leave a Reply