0:00
MICHEZO
Mlinda lango Ronwen Williams ameibuka shujaa wa Mamelodi kwa kucheza mikwaju miwili ya penati na kuisaidia timu hiyo kuwaondosha mabingwa wa soka Tanzania Bara kwa penati 3-2 na kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika.
Nyota Aziz Ki, Dickson Job na Ibrahim Bacca walipoteza mikwaju yao ya penati na kuwapa faida Mamelodi Sundowns waliotokea kwenye tundu la sindano.
Timu hizo zilimaliza dakika 90 zikiwa suluhu tasa na matokeo ya jumla kusoma 0-0 ndipo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mbabe.
Related Posts 📫
An irate Nigerian woman has taken to social media to...
Aziz Ki kapiga hat-trick ya tuzo ligi kuu Tanzania bara...
IS A CHANGE OF ENVIRONMENTPerhaps you two should consider stepping...
NYOTA WETU
Mlinzi binafsi wa nyota wa Misri 🇪🇬 Mohammed...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...