MICHEZO
Related Content
Related Content
Manchester United wamepata sare ya 2-2 nyumbani dhidi ya Liverpool na kuwashusha majogoo hao kileleni kwenye msimamo wa EPL

Arsenal sasa wanasalia kileleni na alama 71 sawa na Liverpool huku Manchester City wakiwanyatia kwa karibu wakiwa na alama 70 wakati huu timu zote zikiwa zimebakiza michezo 7 kutamatisha ligi hiyo.
Bruno Fernandes alifunga kwa kushtukiza kusawazisha bao la utangulizi la Luis Diaz kabla ya barobaro Kobie Maino kupachika bao la viwango lililofutwa kwa mkwaju wa penati na Mohamed Salah aliyefunga bao lake la 23 msimu huu.

Related News 
Ghana’s Sports Minister nominee, Kofi Adams, has assured that his...
Ex- Chelsea and Arsenal star Model Tabby Brown, passed away...