MICHEZO
Related Content
Related Content
Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam FC kiasi cha Dola 210,000 sawa na zaidi ya milioni 540 za kitanzania) ili aweze kuwa mchezaji huru.

“
Dube hajashindwa kesi ,kesi ya msingi hapa ilikuwa ni mkataba wake na azam ambao kamati imejiridhisha kuwa mkataba wake utaisha 2024 mengine hayo ya malipo hayakuwa kesi ya msingi.
Dube hana mkataba mpaka 2026 ,kwahiyo atalipa yanayohitajika kwa mkataba uliobaki na kama Kuna timu inamtaka ikalipe hizo pesa kama hakuna timu basi miez 3 iliyobaki ikiisha ataondoka bure”. Ameeleza Mwandishi wa habari Juma Ayo.
Related News 
Manchester City defender Manuel Akanji has joked he may have...
Pillow talks are gentle and intimate conversations as you lay...
Eriksen is into his third year at Old Trafford, but...