EMMANUEL AMUNIKE ATEULIWA KOCHA MKUU NIGERIA

0

0:00

MICHEZO

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria .

Amunike anakwenda kuchukua nafasi ya mkufunzi JosĆ© Peseiro ambaye alingā€™oka kwenye kiti hicho baada ya kumalizika kwa michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast .

Kabla ya kuwa kocha, aliwahi kukipiga katika timu za Barcelona,Zamalek na Sporting Lisbon na kuiwezesha timu ya taifa ya Nigeria U17 kubeba kombe la Dunia.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  UTI KWA WANAUME
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading