JUDE BELLINGHAM AIBEBA MADRID IKIICHAPA BARCELONA KWENYE EL CLASSICO
0:00
MICHEZO
Bao la dakika za lala salama la Jude Bellingham limeipatia Real Madrid pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika dimba la Santiago BernabƩu kwenye El Clasico.
FULL TIME: Real Madrid 3-2 Barcelona
ā½ Vini Jr 18′
ā½ Lucas 73′
ā½ Bellingham 90+1′
ā½ Christensen 6′
ā½ Lopez 69′
Real imesogea mpaka alama 11 mbele ya Barcelona kwenye msimamo wa Laliga ikiwa kileleni alama 81 baada ya mechi 32. Barca inasalia nafasi ya pili alama 70 baada ya mechi 32.
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.