MKUU WA WILAYA ATOA AMRI YA KUWACHAPA VIBOKO WANAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO

0:00

HABARI KUU

MKUU wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amesema wananchi wote wanaotaka Muungano uvunjike wanatakiwa kuchapwa viboko ili iwe fundisho kwa watu wengine.

Akizungumza wakati wa Mdahalo wa kuelekea kilele cha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Moyo alisema kuwa kuna watu wanaotaka Muungano uvunjike kwa maslahi yao jambo ambalo halikubaliki katika jamiii ya watanzania.

Moyo amesema kuwa Muungano wa Tanzania ni nembo (Brand) kubwa duniani jambo ambalo hadi leo Tanzania ipo salama baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwafanya wananchi wote kuwa wamoja.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Klabu ambazo Ziko Mbioni Kununua Mkataba wa...
Story zinazotrend Nchini ni : ◉ Aziz Ki kuhusu mkataba mpya...
Read more
PAPA FRANCIS ASEMA AKIFA ASIZIKWE VATICAN
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
“ REASONS WHY SOME WOMEN ARE NOT...
SHYNESSMost women are shy to the extent of finding it...
Read more
Romance on night light is never gonna...
Dictum fusce ut placerat orci nulla pellentesque dignissim enim...
Read more
KINANA NA KIKWETE WAGUSWA SUALA LA BANDARI...
Dar es salaam Kupitia kwa Wakili Eric S Ng'maryo ,...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Key points of contention between Mauricio Pochettino and Chelsea which led to him leaving the club

Leave a Reply