Dkt Charles Kimei ahofia nafasi yake ya Ubunge kuchukuliwa

0:00

HABARI KUU

“Mnataka nisirudi Bungeni?”

Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dkt. Charles Kimei amehoji kutojengwa kwa kituo cha afya cha Msae, Mwika ambapo amedai kutokujengwa kwa kituo hicho kutasababisha asirudi bungeni baada ya uchaguzi ujao.

Dkt. Kimei amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akiuliza swali la nyongeza ambapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson alimuuliza kama ni kweli katika jimbo lake hakuna kituo kipya kilichojengwa ambapo Mbunge huyo alikiri vituo vya afya viwili vimejengwa.

Wakati huo huo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange alimjibu Mbunge huyo kwa kumueleza kuwa Serikali inatambua kituo hicho ni chakavu na upo mpango wa kukarabati vituo vya afya chakavu baada ya kukamilisha ukarabati wa hospitali za halmashauri.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

THE STORY OF THE MAN WHO NEVER...
CELEBRITIES Mr. Bean (Rowan Atkinson)The story of the man who...
Read more
Things Women Love about Sex but are...
10 THINGS WOMEN LOVE ABOUT SEX BUT ARE AFRAID TO...
Read more
Power Outages Scheduled for Nairobi, Uasin Gishu...
Kenya's national electricity distributor, Kenya Power, has announced scheduled power...
Read more
BUSU PEKEE AFUNGIWA MIAKA MITATU ...
MICHEZO Rais wa zamani wa chama cha soka Uhispania, Luis...
Read more
Key points of contention between Mauricio Pochettino...
ANALYSIS ● The head coach’s willingness to fit in with...
Read more
See also  ACHIEVING FEMALE ORGASM: TIPS FOR PARTNERS come and hear something new

Leave a Reply