0:00

MAPENZI

HAYA NI MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:_ ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜

1. MWANAUME HAPENDI KUFOKEWA

Hata kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima.

2. MWANAUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA

Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo anatakiwa kutoa. Mpe muda ajipange kutoa jibu.

3. MWANAUME ANAHITAJI MUDA WA KUKAA KIMYA; USIMLAZIMISHE KUONGEA

Zaidi sana anapopita kwenye hali ngumu au changamoto fulani; wanaume wengi hupenda kukaa kimya huku akiwaza nini cha kufanya. Tofauti na wanawake, ambao wakati wa changamoto ndipo wanataka kuongea zaidi. Wanaume wengi hawapendi kuongea kama hawana suluhisho la shida iliyopo mbele yao.

4. MWANAUME HAPENDI MKE MWENYE KIHERE-HERE

Yani hata kama bado hajakwambia, kaa ukijua kwamba wanaume hawapendi kuwa na mke ambaye hapitwi na jambo. Mwanamke anayetaka kuchangia kila kitu au kuongea-ongea sanaaaa! Mmmhhh! Unamchosha mwanaume hivyo.

5. MWANAUME HAPENDI MKE WAKE AWE NA MARAFIKI WEEENGIII; ZAIDI SANA MARAFIKI WA KIUME

Wanaume wengi wana WIVU; hivyo mwanaume hapendi kuona mke wake yuko bize โ€œku-entertainโ€ wanaume wengine (HATA KAMA HAKUNA MAHUSIANO MABAYA). Mara huyu ni rafiki yangu tulisoma nae, niliwahi fanya nae training, ni mwalimu wa kwaya, oohh huyu tulifanya nae kazi, bla, bla , blaโ€ฆ.

6. MWANAUME HAPENDI KUNYANYASIKA

Wanaume wengi ni rahisi kusumbuliwa na hali au hisia ya kujiona duni (Inferiority Complex). Zaidi sana kama MKE ndiye mwenye pato kubwa, au elimu kubwa, umri mkubwa, au anatoka familia yenye nguvu zaidi kuliko ya mume. Hapo inabidi mwanamke awe makini sana maana kitu kidogo tu kinaweza sababisha mwanaume adhanie kwamba tayari anadharaulika. Mwanamke anahitaji HEKIMA ya juu kuishi na mume mwenye shida ya kujidharau.

7. MWANAUME HAPENDI KUPOTEZA MAMLAKA AU SAUTI YAKE KWA MKE WAKE

See also  TOUCH HER IN THESE PLACES, INTIMATELY

Mwanaume akiona dalili za kupoteza mamlaka yake na kukosa sauti kwa mkewe

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading