0:00
HABARI KUU
Mbunge wa Jimbo la Konde, Pemba, Mohamed Said Issa ameitaka Serikali irudishe utaratibu wa kuingia visiwani Zanzibar kwa hati ya kusafiria akidai visiwa hivyo vinahitaji kulindwa.
Mohamed amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
“Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea sasa watu Zanzibar watakuwa hawana sehemu ya kuishi. Mimi bado nahitajio ‘Passport’ irudi ili kuwe na ulindaji wa wanachi kuingia pale… Ukiingia sasa hivi Zanzibar viwanja vimechukuliwa, minazi hakuna tena jambo hili sio zuri,” amesema Mohamed.
Related Posts 📫
LOS ANGELES — The Los Angeles Dodgers will commemorate their...
OUR STAR 🌟
Well-known comedian and actor, Ayo Makun, also...
MICHEZO
Beki wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka ,amefuatwa na timu...
Max Verstappen answered critics of his driving with a statement...
President William Samoei Ruto emphasized the importance of equipping the...