0:00
MICHEZO
Rais wa chama cha Soka Zambia Andrew Kamanga amekamatwa huku akikabiliwa na Mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma na utakatishaji fedha.
Rais huyo anatuhumiwa kutumia fedha za Serikali ili kuwawezesha ndugu na rafiki zake, kusafiri kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), nchini Ivory Coast, mwezi Januari, licha ya wawili hao kutokuwa maafisa wa chama cha soka Zambia, FAZ.
Andrew Kamanga anaripotiwa kuwalipia ndugu zake hao wawili kiasi cha K99,000 kama tiketi ya Ndege.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
OUR STAR 🌟
Verydarkman has gotten people talking after he...
Interconnected Ventures, founded by Mbappe, has bought a majority stake...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...