Kwa takwimu hizi hela ya usajili ya Joseph Guede imerudi?

0:00

MICHEZO

Nyota wa Yanga SC, Joseph Guede ambaye alisajiliwa katika dirisha dogo ameitumikia timu hiyo kwa dakika 743, kwenye NBC Premier League na kucheka na nyavu mara nne.

Mbali na kwenye NBC PL, mchezaji huyo raia wa Ivory Coast pia ameshacheka na nyavu mara tatu kwenye michuano ya CRDB Bank Federation Cup ukiwemo mchezo wa jana wa robo fainali dhidi ya Tabora United.

Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Guede pia ameacha alama kwa kufunga goli moja kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad uliopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kwa mwenendo wa mchezaji huyu tangu ametua, ameanza kukonga nyoyo za wapenda soka nchini Tanzania na kwa wafuatiliaji wa soka na vilabu vya Tanzania walioko nje.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

King becomes first female athlete to be...
NEW YORK, - Billie Jean King has been awarded the...
Read more
LUPITA NYONG'O ASIMULIA ALIVYOUMIZWA NA MAPENZI
MICHEZO Staa wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya,...
Read more
Liverpool back in groove, Chelsea thrash West...
LONDON, - Liverpool returned to winning ways in the Premier...
Read more
WHY A BUSINESS SHOULD MARKET DAILY
BUSINESS Generate Brand Awareness: Daily marketing helps in creating and maintaining...
Read more
WANAWAKE WANAOIBEBA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
See also  RAIS LUIS RUBIALES KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUBUSU

Leave a Reply