GAMONDI HASTAILI TUZO YA KOCHA BORA MSIMU HUU

0:00

MICHEZO



Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Club ya Simba Ahmed Ally akiandika haya kupitia mtando wake wa Instagram juu ya alichokifanya Gamondi Miguel Kocha wa Young Africans SC.

“Nitashangaa kumuona uyu Mwalimu kwenye tuzo ya Makocha bora msimu huu,Haijalishi ame achieve nini lakini hastahili chochote kwa utovu wake wa nidhamu uliopitiliza,How come Mwalimu Mkuu unakua na tabia za hivyo?? Ina maana asingezuiliwa angepigana??Vitendo hivi vinachafua mpira wetu na inaonekana ligi ya wahuni, wasio na ustaaarabu na Kama kila asieridhishwa na maamuzi afanye vurugu hii si itakua ligi ya kina Mwakinyo

“Halafu hapo bado wapo kwenye mchezo Mwamuzi huyu alishindwa nini kumuonesha kadi nyekundu??Hii tabia ya Watu wa Yanga sc kuwafanyia vurugu Waamuzi imeota mizizi sasa tazama Video ya pili na tatu,Video ya pili ni Watu wa Yanga sc wakitaka kuwapiga Waamuzi wiki iliyopita kwenye mechi ya Ceasiaa Queens na Yanga Princess katika Uwanja wa Samora Iringa”

“Waamuzi waliokolewa na Polisi na wakatoka Uwanjan chini ya Ulinzi mkali,Hii tabia inapaswa kukomeshwa tena kwa haraka kwanza usalama wa Waamuzi wetu pili kulinda thamani na hadhi ya mpira wetu,Hatuko tayari kuona watu wachache wanachafua taswira ya mpira wetu na hawa nyuma mwiko lazima wakumbushwe kuwa hawapo juu ya sheria.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  AISHA MASAKA MTOTO WA KIMASIKINI NA HADITHI TAMU KUHUSU UPAMBANAJI.
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading