CHAD YAMPATA RAIS MPYA WA MPITO

0:00

HABARI KUU

Kwa mujibu wa matokeo ya awali ya Tume ya Uchaguzi, Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Déby Itno, ameshinda uchaguzi wa Urais wa Mei 6 kwa asilimia 61.03 ya kura, mbele ya mpinzani wake mkuu, Waziri Mkuu Succès Masra, aliyepata kura 18.53%.

Hata hivyo Bw.Masra amedai kushinda uchaguzi huo katika raundi ya kwanza.

Waziri Mkuu wa zamani Albert Pahimi Padacé amekamata nafasi ya tatu akipata kura 16.91% kiwango cha walioshiriki uchaguzi ikiwa ni 75.89%, kulingana na tume ya uchaguzi.

Matokeo ya muda ya uchaguzi wa urais wa Jumatatu nchini Chad yalitangazwa na Kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Alhamisi jioni, Mei 9, siku 12 kabla ya tarehe iliyopangwa ambapo matokeo hayo yanatarajia kuthibitishwa na Baraza la Katiba nchini humo kama matokeo rasmi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HEALTH BENEFITS OF HAVING REGULAR SEX ...
❤ 1. S*x gives you good sleep2. S*x lowers high...
Read more
Liverpool chief executive Billy Hogan says the...
The club have implemented several changes behind the scenes at...
Read more
SAMIA AANIKA SIRI NZITO UTEUZI WA BITEKO...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya hivi leo popote pale...
Read more
Highlights : SIMBA 3-1 TANZANIA PRISONS" on...
https://youtu.be/w7-wiz_C1cA?si=MuOjqcPKtfsHcKvX Tazama mchezo wa Simba na Tanzania Prisons leo.
Read more
Aina za UTI SUGU kwa Mwanamke na...
U.T.I ni nini? U.T.I(Urinary Tract Infection) kwa wanawake ni maambukizi ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  TUNDU LISSU AMSHTUKIA MBOWE KUELEKEA 2025

Leave a Reply