Ukosefu wa pesa kwa Wanaume unavyochagia Ulawiti na ubakaji

0:00

HABARI KUU

Mbunge wa Iringa Mjini, Jescar Msambatavangu amesema mipango ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imegusa wanawake pekee ambapo ameomba Rais aunde wizara mpya itakayohusika na wanaume ikiwemo kuwawezesha kiuchumi

Msambatanagu ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa fedha 2024/2025

“Tunataka wanaume wawezeshwe kiuchumi ili waache mambo ya ubakaji na ulawiti, tunataka mabinti zetu waolewe na wanaume hizi tamaa zao watakwenda kuzipeleka kwa wake zao” amesema Msambatavangu

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WAFANYA VURUGU UBUNGO ...
HABARI KUU Wafanyabiashara wa soko la simu 2000 lililopo halmashauri...
Read more
MAWAKILI KUMBURUZA MAHAKAMANI MKUU WA WILAYA KWA...
HABARI KUU Wakili wa kujitegema nchini Wakili Peter Madeleka amesema...
Read more
MAKONDA ATOA MBINU HIZI KUONGEZA KASI YA...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa muda wa...
Read more
𝗞uhusu Usajili wa JEAN 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘 Yanga na...
Yanga wameununua mkataba wa mkopo wa Jean Baleke na Al-Ittihad...
Read more
“Bishop Oyedepo is feeding from our tithes”...
Popular Nigerian pastor David Olaniyi Oyedepo has recently addressed rumors...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  CHARLES KITWANGA awatetea polisi kuhusu rushwa na kuwabambikia raia kesi

Leave a Reply