Watu 11 wafariki kiwanda cha Sukari

0:00

HABARI KUU

Watu 11 wamefariki Dunia kufuatia Hitilafu ya mitambo iliyotokea ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kinachohusika na Uzalishaji wa Sukari.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema

“Tukio limetokea Saa 7:30 Usiku kuamkia leo Mei 23, 2024, kulitokea hitilafu katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme. Waliofariki ni Wataalamu wa Umeme na Mitambo ambao walikuwa kwenye chumba cha kudhibiti mitambo hiyo”

Amesema kati ya waliofariki kuna Raia watatu wa kigeni kutoka Kenya, India na Brazil ambapo miili ya wote waliopoteza Maisha imehifadhiwa Hospitali ya Mtibwa Sugar huku majeruhi wawili wakiwa wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni ya Bwagala.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

SABABU YA DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAM
MAKALA Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE...
Read more
MANARA AIKOSOA TFF TENA
MICHEZO Aliyekuwa Mhamasishaji wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday...
Read more
Ministry of Interior Proposes Monthly Allowance for...
The Ministry of Interior and National Administration has floated a...
Read more
Kwanini Yanga ilimhitaji zaidi Chama kuliko Simba?
UCHAMBUZI Faida ya uwepo wa Chama Jangwani kwanza uzoefu wa mashindano...
Read more
Campaign funds: Probe Peter Obi, Yesufu, Afenifere...
The National Working Committee of the Labour Party, LP, has...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  PAUL MAKONDA AMUWEKA KITIMOTO MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA

Leave a Reply