Kama ulikua huyajui Maajabu ya SHAHAWA kwa mwanamke wacha nikufahamishe;-Kama ulikua hujui shahawa za wanaume zina faida nyingi kwa Wanawake,Zifuatazo ni faida na Maajabu ya SHAHAWA kwa Wanawake;-

0:00

4 / 100
  1) Humtengeza mwanamke shepu yake.
 Shahawa ni protini na kazi ya protini ni kujenga mwili.

(2) Humsaidia mwanamke kuwa na ngozi Nyororo,
  Ndani ya shahawa kuna virutubisho ambavyo  ngozi ya mwanamke huifanya iwe Nyororo.

 (3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. 
Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi.

 (4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi,
  Shahawa  kwa mwanamke hutengeneza ala nzuriiii za sauti katika mfumo wa sauti.

  (5) Husaidia  kuboresha afya ya utiwa mgongo. 
 Mwanamke akisha mwagiwa Shahawa,
  Shahawa Huwa na kawaida ya kukimbilia katika muundi wa mgongo Yaani uti wa mgongo,
Hali hii  humfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini.
Hali hii humfanya mwanamke asiumweumwe hovyo uti wa mgongo.

  (6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.
 Nadhani ushawahi kuwaona wanafunzi wakianguka na kuchekacheka hovyo mashuleni,
 Ushawahi kujiuliza kwanini hali ile huwapata wanafunzi wakike tu tena wanaosoma shule za jinsia Moja?,
 Sasa kama ulikua hujui sababu ya matatizo yale ni kwamba mwanamke amekosa kufanya mapenzi,
Ndani ya mapenzi kuna kumwagiwa Shahawa. 

  (7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara, hasa kinapoingia baridi,

Hapa sina cha kuongeza sentesi yenyewe imekamilika.

 (8) Husaidia kuboresha afya ya Nywele,
Shahawa pia huboresha afya ya Nywele,
Kwasababu mwanamke anapofanya mapenzi huzalisha homoni iitwayo Oestrogen,
Homoni hii Moja ya kazi yake ni kuboresha afya ya Nywele na ngozi.

  Hizo ndio faida za SHAHAWA Kwa mwanamke,
  Kutokana na faida hizo hapo juu Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki,
 Huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

See also  11 THINGS A WIFE CAN DO TO MESS UP HER MARRIAGE

Related Posts 📫

THE TYPES OF WIVES ...
❤ THE TYPES OF WIVES: THE GOSSIPING ONEWhat you love talking...
Read more
MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Former Nigerian President, Olusegun Obasanjo, on Friday...
Obasanjo also described Nigeria as a country that takes two...
Read more
Zappacosta: "The Europa League title with Atalanta is better than...
Read more
England, NZ get points deductions for slow...
England and New Zealand were fined 15% of their match...
Read more

Leave a Reply