Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kiume

0:00

12 / 100

AFYA

Kumekuwa na imani nyingi kuhusu dalili za mimba ya mtoto wa kiume katika mimba Changa na kina mama wengi wajawazito wanakuwa na shauku kubwa kujua jinsia za watoto wao waliopo tumboni mapema kabla ya kujifungua.

Mojawapo ya imani hizo ni kama;

  1. Mimba ya kiume huwepo endapo Mama mjamzito akiwa na dalili za kutapika au kichefu chefu asubuhi kidogo na kinyume chake huwa ni mtoto wa kike.
  2. Tumbo la mama mjamzito mwenye mtoto wa kiume tumboni huwa chini zaidi na hii kinyume na mtoto wa kike ambapo tumbo huwa juu karibia na kifua cha mama.
  3. Mama mjamzito mwenye mtoto wa kiume tumboni mabadiliko ya mood huwa ni kidogo kuliko yule mwenye mtoto wa kike ambapo huwa ana mabadiliko ya mood zaidi.

4.Mama mwenye mtoto wa kiume tumboni hupendelea kula vyakula vichungu kama ukwaju,Ndimu mbichi na Nyanya chungu tofauti na mama mjamzito mwenye mtoto wa kike tumboni ambaye hula vitu vitamu.

  1. Mama mjamzito mwenye mtoto wa kiume huwa mzuri katika ngozi yake zaidi kuliko wa kike ambaye huwa na chunusi na madoa madoa usoni.

6.Mama mwenye mtoto wa kiume tumboni mapigo ya Moyo ya mtoto huwa chini ya 140Bpm ukilinganisha na yule wa kike ambapo huwa juu ya 140Bpm.

✅UKWELI WA KISAYANSI✅
❤️Unataka kujua jinsia ya mwanao hakikisha ukifikisha wiki 20 kwenda juu(miezi 5) yaa ujauzito, uende hospitali na ufanyiwe ultrasound hiyo itakuonesha jinsia ya mtoto wako 99%-100%.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Namna Kisukari Kinavyosababisha Upotevu wa kuona
Kulingana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), inaonesha...
Read more
Cristiano Ronaldo has hit 1bn total followers...
The number is calculated by combining his total number of...
Read more
High Court Sentences Acting IG Gilbert Masengeli...
The High Court has imposed a six-month prison sentence on...
Read more
Sergio Perez on rumors: I'll retire 'when...
Red Bull Racing driver Sergio Perez admits he briefly considered...
Read more
17 TRUTH FOR AN IDEAL MAN
LOVE TIPS ❤
See also  Athari za Kuvuta Shisha Wakati wa Ujauzito
So ladies, here is your turn. How...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply