YANGA YATOA UFAFANUZI KUHUSU SAKATA LA KUFUNGIWA NA FIFA

0

0:00

12 / 100

MICHEZO

ā€œKabla ya Dirisha la usajili kufunguliwa sisi Yanga tulikuwa tumeshafanya malipo yote kwa 100% ya hawa wachezaji wawili (Kambole & Mamadou Doumbia).

ā€œJuni 14, 2024 tulituma Proof Of Payment FIFA na Jana, Juni 18 tulipokea Email kutoka FIFA kwamba wamejiridhisha na malipo yetu.

ā€œKwa taarifa rasmi ni kwamba hakuna kesi yoyote FIFA inayohusisha Young Africans, jambo la Okrah muda ukifika litakuja kuzungumzwa kulingana na ripoti ya mwalimu mwenyewe kama atabaki au ataondoka,ā€ Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  10 WAYS TO MARKET A BUSINESS.
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Please disable your adblocker or whitelist this site!

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading