Kwanini JUDITH SUMINWA Hataki Suluhu na PAUL KAGAME?

0:00

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

9 / 100

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Judith Suminwa Tuluka amesema kwamba Serikali ya Kinshasa haitaki mazungumzo na Rwanda kwa sababu inaituhumu kuwasaidia Waasi wa Kundi la M 23 huko Mashariki ya nchi yake.

Alipoitembelea kambi ya wakimbizi karibu na Goma AlhamisI, Tuluka ametoa wito kwa washirika wakuu wa Congo kuchukua hatua kali na vikwazo dhidi ya Kigali.

Alhamisi hiyo Rais wa Angola Joao Lourenco akiwa katika ziara huko Ivory Coast amesema kwamba mazungumzo yanaendelea katika kiwango cha mawaziri kwa lengo la kuwaleta pamoja viongozi wa Rwanda na DRC kwa haraka iwezekanavyo ili kukubaliana juu ya kupatikana amani ya kudumu Mashariki ya Congo.

Angola imekuwa ikijaribu kupatanisha nchi hizo mbili kutokana na ugomvi katika Jimbo la Kivu ya Kaskazini ambako waasi wa M 23 wanadaiwa kuungwa mkono na Rwanda wamekuwa wakipigana na Jeshi la Serikali tangu mwishoni mwa 2021.

Related Posts 📫

MICHELLE OBAMA AMPONGEZA BEYONCE KWA HILI ...
NYOTA WETU Mke wa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama,Michelle...
Read more
THE STORY OF THE MAN WHO NEVER...
CELEBRITIES Mr. Bean (Rowan Atkinson)The story of the man who...
Read more
WOMAN BERATES THOSE ADVISING CHIOMA TO LEAVE...
CELEBRITIES American woman chides those advising Chioma to leave Davido...
Read more
SAFARI YA KUMUONDOA PUTIN YAANZA NA 16...
HABARI KUU. Wagombea 16 wamejitokeza kuchuana na Rais Vladimir Putin...
Read more
10 TYPES OF MEN YOU SHOULD NEVER...
The Unbeliever: Marriage can be hard enough at times, add...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  AJALI YA NGARAMTONI ARUSHA YAUA RAIA WA NCHI HIZI DUNIANI

Leave a Reply