Mchungaji Peter Msigwa ajivua Gwanda sasa ni Kijani na Njano

0

0:00

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa mbele ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM

Msigwa amehamia CCM ikiwa ni wiki chache tangu akose nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa katika Uchaguzi uliompa ushindi Joseph Mbilinyi (Sugu)

Aidha, hatua hiyo inafuatia madai ya siku za hivi karibuni yaliyoeleza kuwa Mbunge huyo wa zamani alikuwa na mipango ya kuhamia CCM, ingawa mwenyewe aliwahi kukanusha mara kadhaa.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RAIS SAMIA SULUHU KUTUNUKIWA UDAKTARI
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading