Orodha ya Mikoa itakayoathirika na Kukatika Umeme kuanzia July 03 2024

0:00

10 / 100

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) , limewatangazia Wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la umeme Jumatano, July 03 2024 na Alhamisi July 04, 2024 kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi 12:00 jioni katika baadhi ya maeneo katika Mikoa 15 sababu ikiwa ni kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma(SGR) ili Mkandarasi wa TRC kuendelea kumalizia kazi zilizokua zimebaki kwenye vituo vya treni vya msongo wa kilovoti 220/33.

Maeneo yatakayoathirika ni baadhi ya Wateja wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Singida, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Mara, Geita, Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

“Faida ya katizo hili la umeme ni TRC kuweza kuimarisha mifumo ya uendeshaji treni na pia TANESCO kuimarisha ufatiliaji na undeshaji wa line ya 220kv Msamvu – Dodoma.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

URUSI YAFANYA MAJARIBIO YA NYUKLIA ...
HABARI KUU. Urusi imefanya "Jaribio la mwisho lililofanikiwa" la kombora...
Read more
Generation Z Flexes Its Muscle, Forces Kenyan...
The young people known as Generation Z (Gen Z) in...
Read more
GARDNER G HABASH ALIVYOIPAISHA BONGO FLEVA
NYOTA WETU GARDNER G HABASH, THE INFOTAINERMTANGAZAJI wa redio mwenye...
Read more
ALEXANDER ISAK HAUZWI KOCHA EDDIE HOWE ...
MICHEZO Kocha Mkuu wa Newcastle United, Eddie Howe amesema klabu...
Read more
JOAN LAPORTA ANAMTAKA XAVI HERNANDEZ KUENDELEA KUWA...
MICHEZO Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta amesisitiza kwamba anataka...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RUBANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 10 KWA ULEVI

Leave a Reply