Rais wa Liberia Joseph Boakai ametangaza kuwa atapunguza mshahara wake kwa 40%.

0:00

10 / 100

Ofisi yake ilisema ana matumaini ya kuweka mfano wa “utawala unaowajibika” na kuonyesha “mshikamano” na Waliberia.

Mishahara ya serikali imekuwa ikichunguzwa vikali hivi karibuni huku Waliberia wakilalamikia kupanda kwa gharama ya maisha. Takriban mtu mmoja kati ya watano anaishi kwa chini ya $2 (£1.70) kwa siku katika jimbo hilo la Afrika Magharibi.

Bw Boakai alifichua mwezi Februari kuwa mshahara wake wa mwaka ulikuwa $13,400. Upungufu huo utapunguza hadi $8,000.

Hatua ya Bw Boakai inafuatia ile ya mtangulizi wake, George Weah, ambaye alikatwa asilimia 25 ya mshahara wake.

Baadhi ya watu katika taifa hilo la Afrika Magharibi wamepongeza uamuzi wa Bw Boakai, lakini wengine wanashangaa iwapo kweli ni kujitolea kutokana na kwamba bado anapokea marupurupu kama vile posho ya kila siku na bima ya matibabu.

Bajeti ya ofisi ya rais ni karibu $3m mwaka huu.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MVUA YAGEUKA FURSA KWA MADEREVA BAJAJ NA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
Read more
Manchester City manager Pep Guardiola says he...
The Brazilian goalkeeper has been the subject of interest from...
Read more
Possible Cabinet Shake-Up Looms as Ruto Considers...
President William Ruto may implement significant alterations to his Cabinet...
Read more
Hall of Fame designated hitter Edgar Martinez...
New Seattle skipper Dan Wilson announced the hire on Friday,...
Read more
FACTORS TO CONSIDER BEFORE YOU MARRY ...
❤ Two days ago I posted, "Don't marry anyone just...
Read more
See also  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

Leave a Reply