Kwanini Cristiano Ronaldo ni Binadamu Mwenye Mvuto zaidi Duniani Kwenye Mitandao ya Kijamii?

0:00

4 / 100

“unatuandikia rekodi za mitandao wakati huyo CR7 kazidiwa rekodi uwanjani, hana rekodi za maana kwanza hana World cup” – Hayo ni baadhi ya maneno kwenye post yangu ya jana kuhusu CR7.

By the way mimi napenda sana debate, napenda sana kupinga au ku-support hoja kwa FACTS na takwimu.. sijui wewe unatumia nini. Matusi ?!

Back to the point. Nimekuwekea rekodi chache kati ya nyingi za Cristiano Ronaldo.

◉ CR7 ndiye binadamu mwenye magoli mengi zaidi (Official goals) Duniani – 891.

◉ CR7 ndiye binadamu mwenye magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani – 146.

◉ CR7 ndiye binadamu mwenye hat-trick nyingi zaidi Duniani – 66.

◉ CR7 ndiye binadamu mwenye magoli mengi zaidi katika timu za taifa Duniani – 130.

◉ CR7 ndiye binadamu aliyefunga magoli mengi zaidi UEFA champions league – 140.

◉ CR7 ndiye binadamu mwenye magoli mengi zaidi katika michuano ya EURO – 14.

Cristiano Ronaldo in Euro history :

✨ Most Goals.
✨ Most Assists.
✨ Most Chance Created.
✨ All-time top scorer.

◉ Mpaka sasa CR7 amecheza dhidi ya klabu (59) Champions league PEKEE, na amezifunga timu (41).

◉ Magoli mengi zaidi (17) katika msimu mmoja UEFA champions League (2013/14).

◉ Magoli mengi hatua ya mtoano UEFA champions league – 67.

◉ Most season’s as UEFA-CL top scorer: 2008, 2013, 2014, 2015, 2016, 2017, 2018.

◉ Mchezaji pekee aliyefunga goli kwenye fainali tatu tofauti UEFA champions league.

◉ Mchezaji pekee aliyefunga goli kwenye mechi (11) mfululizo UEFA-CL.

◉ Mchezaji pekee aliyefunga hat-trick (3) katika msimu 1 UEFA-CL (2015/16).

See also  Ukweli Wa FISTON MAYELE Jinsi Unavyomweka Huru

◉ Mchezaji pekee mwenye hat-tricks (8) UEFA champions league.

◉ Mfungaji bora wa muda wote wa klabu ya Real Madrid akiwa na magoli – 450.

◉ Mchezaji pekee ambaye amefunga magoli 50+ katika calendar ya mwaka katika misimu (7) tofauti kwenye soka la ushindani Duniani.

“Anazifunga timu ndogo hana kitu” Alisikika mlevi mmoja wa chimpumu

Hizi ni baadhi ya timu dhaifu alizozifunga CR7 Champions League.

⚽ 2🅰️1 vs 🇪🇸 Barcelona
⚽ 7🅰️3 vs 🇪🇸 Atletico Madrid
⚽ 6🅰️6 vs 🇫🇷 Lyon
⚽ 7🅰️1 vs 🇩🇪 Bayern Munich
⚽ 10🅰️2 vs 🇮🇹 Juventus
⚽ 9🅰️2 vs 🇳🇱 FC Ajax
⚽ 7🅰️0 vs 🇩🇪 Dortmund
⚽ 5🅰️2 vs 🇮🇹 AS Roma
⚽ 2🅰️0 vs 🇪🇸 Villarreal
⚽ 2🅰️1 vs 🇮🇹 AC Milan
⚽ 1🅰️1 vs 🇵🇹 Porto
⚽ 4🅰️0 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Tottenham
⚽ 3🅰️0 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester United.
⚽ 3🅰️1 vs 🇫🇷 PSG
⚽ 1🅰️0 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester city
⚽ 1🅰️0 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool
⚽ 2🅰️2 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
⚽ 1🅰️1 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea
⚽ 1🅰️2 vs 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Napoli …. etc

📌 Katika mashindano yote, Cristiano Ronaldo ameifunga Barcelona mabao (20).

“Umemsifia wakati hana World cup”

Ana makombe zaidi ya (30+) sijayaandika kwa sababu makombe ni juhudi ya timu, sio uwezo wa mtu mmoja ndio maana Olivier Giroud, Ng’olo Kante, Dembele wana World cup wakati CR7 hana

George Weah ndiye mchezaji pekee wa Africa aliyetwaa Ballon D’or na hakuwahi kucheza World cup.

Kuna wachezaji pale France hata Argentina wametwaa kombe la Dunia wakiwa benchi, utasema ni bora kuliko CR7 ?

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

See also  KWANINI UNYWAJI WA MVINYO HUSABABISHA MAUMIVU YA KICHWA

Related Posts 📫

Ivanisevic says he needed a U-turn after...
Goran Ivanisevic said he never envisioned himself coaching on the...
Read more
“Your boss never see superstar before”– Wizkid...
Celebrated Nigerian artist Ayodeji Ibrahim Balogun, widely recognized as Wizkid,...
Read more
I have never said I love you...
Nigerian rapper Falz has disclosed that he has never professed...
Read more
12 DECISIONS TO MAKE BEFORE YOU MARRY
There is a saying that, to be forewarned is to...
Read more
TYPES OF WOMEN WHO UNABLE TO MAINTAIN...
LOVE TIPS ❤ 1: The Most Beautiful Women-It takes holyspirit...
Read more

Leave a Reply