Muhimbili watoa orodha ya majeruhi ajali ya Kariakoo

0:00

4 / 100

Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa orodha ya majeruhi waliopokelewa hospitalini hapo wakitokea ghorofa lililoporomoka Kariakoo.

Taarifa iliyochapishwa na Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma cha hospitali hiyo ya Muhimbili inaonesha kwamba imepokea majeruhi 40 waliopata ajali hadi kufikia saa 11 jioni.

Taarifa imesema 35 kati yao wameruhusia kwenda nyumbani baada ya kufanyiwa chunguzi na kubainika kuwa walipata majeraha sehemu mbalimbali za mwili na kutibiwa, kisha kuruhusiwa.

Watano kati yao bado wanaendelea na matibabu ambapo wanne wamepelekwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOl) kwa ajili matibabu zaidi.

Hata hivyo, taarifa hiyo imebainisha kuwa hospitali hiyo haijapokea maiti kutokana na ajali hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO...
MICHEZO Mshambualiji kutoka nchini Ureno na Klabu Bingwa nchini England...
Read more
Ndege iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran...
HABARI KUU Helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran...
Read more
WAFAHAMU MASTAA WA KIKE WA TANZANIA WANAOSHABIKIA...
MAKALA Kwenye mpira wa miguu,mastaa wa kike wa Tanzania nao...
Read more
MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA
MAGAZETI karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Kurasa za Magazeti ya leo
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Military changing narrative on crude oil theft - Governor Diri

Leave a Reply