Hoja nane za ACT-WAZALENDO kwenda kwa Rais SAMIA na Polisi
"Matukio ya vitisho, ukamataji, kupigwa, kuteswa na kuumizwa kwa wanachama na viongozi wetu nchini ni mengi sana, ACT Wazalendo tunataka hatua za haraka zichukule kama ifuatavyo:- (i) Rais wa Jamhuri…