Wanahabari na Polisi wauawa kwenye shambulio Haiti
Takriban watu watatu wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha nchini Haiti kuwashambulia waandishi wa habari, polisi, na maafisa wa afya wakati wa mkutano wa kutangaza kufunguliwa…