YANGA YAICHAPA SINGIDA IKIIPA SIMBA MASWALI MAGUMU

0:00

MICHEZO

Ikicheza mchezo wake wa 21, Yanga imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Magoli yamefungwa na Joseph Guede mawili na Stephene Aziz Ki, hivyo Yanga imefikisha pointi 55, ikiongoza kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Azam FC inayofuatia ikiwa na pointi 47 kisha Simba alama 46

Ushindi huo unaiweka Yanga katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, mchezo ujao ikitarajiwa kukipiga dhidi ya Simba kwenye Kariakoo Derby.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WASANII WANAOLIPWA HELA NYINGI ZAIDI AFRIKA ...
Orodha hii inaangazia wasanii kutoka bara la Afrika sio wenye...
Read more
WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC
HABARI KUU Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi...
Read more
15 IMPORTANT MARRIAGE QUESTIONS TO ASK YOURSELF
When was the last time I did something special for...
Read more
Davis Cup Final 8 to be staged...
The Davis Cup's Final 8 stage will be held in...
Read more
Vee and Magixx from BBNaija set tongues...
Social media has been inundated with reactions following the unveiling...
Read more
See also  SABABU YA BRUNO GOMES BARROSO KUVUNJA MKATABA NA SINGIDA

Leave a Reply