SIRI NZITO KUHUSU DKT SLAA NA WENZAKE KUACHIWA

0:00

Mbeya.

Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa CHADEMA Mpaluka Nyagali (Mdude) wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya kwa siku kadhaa tangu walipokamatwa Mkoani Morogoro.

Philip Mwakilima ambaye ni Wakili wa Mwambukusi na Mdude,amesema watuhumiwa hao wawili wamebadilishiwa mashtaka kutoka Uhaini kuwa uchochezi na watatakiwa kuripoti tena kituo cha polisi Agosti 21,2023.

Wakati huo huo .Balozi Dkt Slaa ameachiwa kwa dhamana ni baada ya wakili Dickson Matata kunukuliwa akisema Balozi Dkt Willibrod Slaa amefikishwa katika kituo cha polisi cha Oysterbay Jijini Dar es salaam akitokea Mbeya alipokuwa anashikiliwa na jeshi la polisi kisha kutakiwa kufanyika kwa mchakato wa dhamana.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

RADJA NAINGGOLAN AFUNGUKA KUIKATAA CHELSEA NA JUVENTUS...
Michezo Nyota wa Zamani wa AS Roma aliyewahi kutakiwa sana...
Read more
KIFAFA CHA MIMBA NI NINI?
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye...
Read more
REAL MADRID MABINGWA WAPYA
Real Madrid wamefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani...
Read more
Enzo Fernandez has apologised to several French...
The Argentina international, 23, landed in Atlanta in the United...
Read more
Kwanini Rais HUSSEIN MWINYI anapigiwa Chapuo Kuiongoza...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa,...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Burundi yaishutumu Rwanda kuhusika na shambulio la Bujumbura

Leave a Reply