SABABU ZA BEI YA MAFUTA KUPANDA

0:00

Dar es salaam.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano August 02/08/2023 saa 6 usiku ambapo kwa mwezi August 2023 bei za rejareja za mafuta katika mkoa wa Dar es salaam petroli ni Shilingi 3199 kwa lita moja ,dizeli shilingi 2935 na huku mafuta ya taa 2668.

Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi August 2023 yaliyoonyesha kupanda kwa bei yanatokana na changamoto za upatikanaji wa Dola ya Marekani,Mabadiliko ya sera za kodi,kushuka kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani,Ongezeko la gharama za mafuta katika soko la Dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

President William Samoei Ruto Swears in New...
President William Ruto has overseen the swearing-in of 19 new...
Read more
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima...
Read more
Mahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Mjane wa...
Mahakama ua Rufani imetupilia mbali shauri la maombi ya marejeo...
Read more
OFA YA YANGA KUMSAJILI DUBE HII HAPA...
MICHEZO Uongozi wa klabu ya Yanga, umetuma ofa kwenda Azam...
Read more
HOW TO CREATE A COMPANY PROFILE STEP...
A company profile can show investors and stakeholders the value...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Wanajeshi waliokimbia vita wahukumiwa kunyongwa

Leave a Reply