0:00
NYOTA WETU.
Madam Rita akiwa kwenye mazungumzo ndani ya Idhaa ya Kiswahili ya Kiswahili Tanzania (TBC) amefunguka kuhusiana na mahusiano yake ambapo amesema kuwa yeye bado yupo single na waliachana na mme wake hivyo haoni vijana wa kumfuata wala kumpenda.
“Mume sina na mchumba sina labda wananiogopa maana hatokei mtu wa kuniambia ananipenda wala I miss you zaidi ya watoto wangu tu,nahisi wananiogopa sijaolewa na mtu akija why not”.
Amesema Rita Poulsen.
Related Posts 📫
MICHEZO
Klabu ya TP Mazembe imechapisha taarifa kuwa nguli wake...
Mike Tyson, the one-time "Baddest Man on the Planet", was...
Popular Nigerian activist Martins Otse Vincent, widely recognized as VDM,...
MICHEZO
Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amesema Josep Pep...
Mwanamke Kukosa Ute Wa Mimba
Ute Wa Mimba:🔳Ute wa mimba ni...