0:00
MICHEZO
Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia wa Uganda amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi laki tano 500,000/ kwa kosa la kumpiga kiwiko Mshambuliaji wa timu ya Coastal Union, Ibrahim Ajib katika mchezo wa Yanga dhidi ya Wagosi wa Kaya hao Coastal Union mchezo wa ligi kuu bara kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga . Katika mchezo huo ambapo Yanga waliibuka kidedea kwa ushindi wa goli 1-0 likifungwa na Clement Mzinze.
Related Posts 📫
CELEBRITIES
The family of the late Nollywood star actor,...
MAKALA
Jambo la kwanza la kuzingatia inapokuja suala la kuchagua...
HABARI KUU
Mwanaume Mkazi wa Kitelewasi Mkoani Iringa aitwae Dickson...
HABARI KUU
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha...
The Magic and the Hornets, who meet on Monday night...