HAALAND APEWA ADHABU KWA KUKASHIFU

0:00

MICHEZO

Mchezaji wa Manchester City, Erling Haaland huenda akaadhibiwa na chama cha soka England baada ya kumkashifu mwamuzi Simon Hooper kufuatia sare ya 3-3 dhidi ya Tottenham Hotspurs ,siku ya jumapili, Desemba 3.

Haaland alicharuka baada ya Hooper kusitisha maamuzi ya faida kwa Jack Grealish kuwa sehemu sahihi huku wachezaji wenzake wakipata mshangao.

Baada ya mchezo kumalizika ,Hooper alizingirwa na wachezaji wa Manchester City, huku Haaland akiongeza mchecheto hasa kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kutumia kauli chafu .

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Borussia Dortmund striker Niclas Fullkrug has emerged...
West Ham are looking seriously at other forward targets after...
Read more
POLISI WAPEWA KIBALI KUMSHTAKI IGP
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
DAVID BECKHAM ATOLEA UFAFANUZI JAMBO HILI ...
NYOTA WETU Mkongwe wa soka David Beckham ametolea ufafanuzi uamuzi...
Read more
French FA reject PSG request to reopen...
The French FA has refused to intervene in the increasingly...
Read more
SABABU SINGAPORE KUKATAA KUANDAA MICHEZO YA JUMUIYA...
MICHEZO Singapore imekataa kuandaa Michezo ya Jumuiya ya Madola ya...
Read more
See also  UFARANSA YAICHAPA GIBRALTAR 14

Leave a Reply