0:00
HABARI KUU
Muimbaji wa Injili nchini Brazil, Pedro Henrique(30) amefariki Dunia akiwa anatumbuiza jukwaani, Feira De Santan kibao chake “Vai ser Tai Lindo.
Baada ya matatizo alikimbizwa hospitali iliopo karibu na baadaye hospitali hiyo ilithibitisha kifo chake na kwa mujibu wa Tadoh Music ambayo ni lebo ambayo alikuwa akifanya nayo kazi,ilithibitishwa kuwa Pedro alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya moyo.
Ikumbukwe ni mwezi toka Pedro na mke wake walipojaliwa mtoto wao wa kwanza wa kiume.
Related Posts 📫
HARI YA ACID YA UKE (VAGINA PH)PH ni kipimo cha...
Former France captain Amandine Henry said on Sunday she has...
CELEBRITIES ASAKE GIRLFRIEND
" I left Asake because he wanted...
MICHEZO
Uongozi wa klabu ya Yanga, umetuma ofa kwenda Azam...
Habari Kuu
Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amewasili nchini Urusi...